Mawasiliano ya mtandao yarudi Syria

Imebadilishwa: 1 Disemba, 2012 - Saa 16:30 GMT


Mawasiliano ya internet nchini Syria yamerudi, baada ya simu kukatwa kwa siku tatu mfululizo huku mapigano makali yakiendelea mjini Damascus.

Uharibifu unaotokea kwenye vita vya Syria

Mwandishi wa BBC mjini humo anasema wakaazi wakati wote wanaishi na ghasia za mizinga na ndege za kivita zikiruka juu ya mji.

Habari za karibuni kabisa zaeleza kuwa mawasiliano ya mtandao wa internet sasa yanapatikana.

Mapigano makali hasa yanaendelea katika sehemu za kusini na mashariki mwa mji mkuu

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.