Belmokhtar adai kuhusika Algeria

Imebadilishwa: 21 Januari, 2013 - Saa 06:43 GMT

Mpiganaji wa Kiislamu wa Algeria aliyeshukiwa kuagiza shambulio kwenye kinu cha gesi - Mokhtar Belmokhtar - anaarifiwa kuthibitisha kwamba yeye amehusika.

Mokhtar Belmokhtar

Alisema hayo kwenye video iliyooneshwa kwenye tovuti ya Mauritania iitwayo Sahara Media.

Kwenye video hiyo Mokhtar Belmokhtar anataka majeshi ya kigeni yaache kuingilia kati nchini Mali na anatangaza kuwa anaunga mkono Al Qaeda.

Sahara Media inasema video hiyo ilirikodiwa juma lilopita wakati kinu cha In Amenas kimeshatekwa.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.