Makamu wa rais Misri, EL Bardei ajiuzulu

Huku mamia wakizidi kuripotiwa kuuwawa nchini Misri.

Makamu wa rais Misri, Mohamed El Baradei amejiuzulu kutoka kwenye serikali ya mpito.

Ghasia zinaelezwa kuendelea kutokea kwenye mitaa mbalimbali ya miji nchini humo.