Matukio kuhusu mashambulizi Kenya

Image caption Baadhi ya majeruhi walikuwa wamepigwa risasi

21:50 Makabiliano yangali yanaendelea katika moja ya ghorofa ya jengo hilo

21:47 Mmoja wa washukiwa waliokamatwa kuhusiana na mashambulizi hayo, amefariki kutokana na majereha yake

21:44 PM Milio ya risasi imesikika huku makabiliano makali yakiendelea katika eneo la tukio