Huwezi kusikiliza tena

Eti radi inaweza kuweka nguvu simu?

Kikundi cha wataalamu kutoka chuo kikuu cha Southampton kimeonyesha kuwa siku moja tutaweza kutumia radi kuweka nguvu simu zetu au vifaa vingine vinavyotumia betri.Wakati ukitafari hilo, huu hapa mkusanyiko wa taarifa za teknolojia wiki hii