Huwezi kusikiliza tena

Madhara ya uvuvi haramu TZ

Sekta ya uvuvi nchini huleta kipato cha kutosha kwa baadhi ya wananchi wa Tanzania ikiwa na zaidi ya watu milioni nne wakijishughulisha na uvuvi.

Hata hivyo uvuvi haramu umeleta madhara katika maziwa, mito na hata mabwawa nchini humo.

Ziwa Rukwa, limetajwa na serikali kuwa katika hatua za mwisho la kupotea kabisa, na kutishia maisha ya wakazi wanaotegemea ziwa hilo. Tulanana Bohela anatuarifu zaidi.