Huwezi kusikiliza tena

Wanafunzi wafanya mitihani Syria

Wanafunzi nchini Syria wameanza mitihani yao ya Taifa.

Maelfu ya shule zimeeangamizwa au kufungwa kutokana na vita, na mamilioni ya watoto wameyakimbia makazi yao.

Hivyo kurejea shuleni ni changamoto kubwa sana.

Kwa wanafunzi wanaoishi katika Kambi ya Wapalastina iliozingirwa, Yarmouk, iliyo pembeni mwa mji wa Damascus, inamaanisha ni kuondoka katika Eneo la vita.

Suluma Kassim, anatuelezea zaidi.