Huwezi kusikiliza tena

Azma ya Rais Nkurunziza ni ipi mwakani?

Huku uchaguzi mkuu nchini Burundi ukitarajiwa kufanyika mwakani, gumzo kuu nchini humo ni je rais Pierre Nkurunziza ata achia madaraka baada ya kuhudumu kwa miaka kumi. Amekuwa kiongozi kupitia chama chake cha CNDD FDD ambacho mwaka 2010 kilishinda uchaguzi baada ya vyama vya upinzani kujiengua. Burundi ina sheria zinazo gongana, katiba ya nchi hiyo, na mkataba wa Arusha ulio irejesha nchi hiyo katika amani. Mwandishi wetu Ismail Misigaro alizungumza na rais Nkurunziza, na alianza kwa kumuuliza iwapo ana azma ya kuendelea kiongozi Burundi?