Ujerumani 4-0 Ureno

20:52 Mpira umekwisha .Ujerumani 4-0 Ureno

2051: Freekick kuelekea lango la Ujerumani.

20:48 Thomas Müller ndiye mchezaji wa kwanza kufunga mabao matatu katika kombe la dunia huko Brazil

Haki miliki ya picha AFP
Image caption Mfungaji mabao matatu ya Ujerumani Thomas Müller

20:48 Lukas Podolski achukua nafasi yake Thomas Müller

20:39 Matokeo kufikia sasa Ujerumani 4 - 0 Ureno

20:38 Thomas Mueller anafurukuta nipenikupe kwenye lango la Ureno na kufuma mpira uliotemwa na kipa wa Ujerumani

20:38 Ujerumani yafunga bao la 4

20:38 BAOOOOOOO la $

20:36 Ronaldo amlalamikia vikali refarii kuwa anapaswa kuwepa penalti lakini reafri haskii lolote anasema mpira uendelee

20:35 Ronaldo aishambulia lango la Ujerumai lakini mkwaju wake unapanguliwa .

20:32 Ureno ikiongozwa na Christiano Ronaldo hawana jibu ya nipe nikupe ya Ujerumani.

Haki miliki ya picha Getty
Image caption Ujerumani imefungua kampeini yake kwa kishindo ikiiadhibu Ureno 3-0

20:32

20:31 Dakika ya 70 Ujerumani 3-0 Ureno

Haki miliki ya picha Getty
Image caption Kisa kilichompelekea pepe kuoneshwa kadi nyekundu awali katika mechi hii

20:22 Matokeo kufikia sasa dakika ya 60 ya kipindi cha pili Ujerumani 3-0 Ureno.

20:21 Mesut Ozil apumzishwa nafasi yake inachukuliwa na Andres

Haki miliki ya picha AP
Image caption Ujerumani yafungua kampeini yake kwa kishindo dhidi ya ureno huko Brazil

20:20 Ujerumani yafungua kampeini yake kwa kishindo dhidi ya Ureno huko Brazil