Huwezi kusikiliza tena

Waslamu waliofunga waondoe tofauti

Waislamu kote duniani wanaendelea kufunga swaumu ya Ramadhan ikiwa ni kutimiza nguzo ya nne ya dini hiyo. Katika mfululizo wa Makala zetu za mwezi huu mtukufu waumini hao wameaswa kuutumia mfungo huo kwa ajili ya kuondoa tofauti miongoni mwao na kuleta utengamano. Mwandishi wa BBC Baruan Muhuza ametuandalia taarifa zaidi.