Roboti zapata ajira mgahawani China

Image caption Hadimu hivi karibuni huenda wakakosa ajira maana roboti zimezinduka

Mgahawa mmoja nchini China umeanza kutumia Roboti badala ya kuwaajiri hadimu au wafanyakazi wa hotelini kuwapakulia chakula na vinywaji wageni. Hebu tazama mambo yalivyo

http://www.bbc.com/news/world-asia-30460737