Duru ya pili uchaguzi Indonesia.

Haki miliki ya picha USGS
Image caption Raman ya Indonesia

Kutakuwa na duru ya pili ya uchaguzi katika kipindi cha wiki mbili zinazokuja kwenye uchaguzi wa urais nchini Indonesia.

Huku kura zote zikiwa zimehesabiwa baada ya uchaguzi wa siku ya Jumapili rais wa sasa Ivo Josipovic amepata asilimia 38 ya kura akimshinda mpinzani wake wa karibu kwa asilimia moja. Waandishi wa habari wanasema kuwa bwana Josipovic anakabiliwa na tatizo la nchi ya Croatia kutumbukia kwenye hali mbaya ya uchumi na ana kibarua cha kuwashawishi wapiga kura kumchagua tena.