Matokeo ya uchaguzi Nigeria leo jioni
Huwezi kusikiliza tena

Matokeo ya uchaguzi Nigeria leo jioni

Na kufahamu zaidi kuhusu mambo yalivyo huko nchini Nigeria awali nilizungumza na Mwandishi wetu Salim Kikeke ambaye anafuatilia uchaguzi huo na kwanza nilitaka kujua nini kinachoendelea kwa sasa.