Youssou Ndour ndiye mwanamuziki tajiri

Image caption Youssou Ndour ndiye mwanamuziki tajiri barani Afrika

Usanii wa muziki ni miongoni mwa kazi zinazolipa vizuri duniani.

Hatahivyo si kila mtu anayefanikiwa katika sekta ya muziki.

Kulingana na mtandao wa capital Fm nchini Kenya,kwa wewe kufanikiwa ni sharti uipende sekta hii pamoja na uwajue wateja wako.

Hivyo ndivyo wasanii wengi wa muziki wameweza kujitengezea jina duniani.

Na je, unawajua wanamuziki tajiri barani Afrika?Orodha ya wanamuziki 10 walio matajiri barani afrika kulingana na Answers Afrika itakushangaza.

Hii Hapa.

01.Youssou N'Dour - Senegal.

02.P-Square- Nigeria

03.D'banj - Nigerian

04.Koffi Olomide - DRC

05.Salif Keita - Mali

06.Fally Ipupa DRC

07.Face Idibia - Nigeria

08.Hugh Masekela - South Africa

09.Banky W - Nigeria

10.Jose Chameleon - Uganda