Askari 15 wa Misri wauawa barabarani

Image caption Mambo yalivyo pwani ya Sinai

Maofisa wa serikali nchini Misri wameeleza kuwa mtu mmoja aliyekuwa na silaha amewaua askari kumi na watano katika shambulio la kizuizi cha barabarani katika eneo la kaskazini la pwani ya mlima Sinai .

Jeshi la Misri limeingia katika vita ya kulinda maeneo yaliyoko Kaskazini yam lima Sinai kwa muda mrefu ili kuwabaini askari washambuliaji kinyume na majeshi ya serikali .

Siku za hivi makundi ya kigaidi yenye nguvu na msimamo mkali yamekula kiapo cha utii kwa kundi la wanamgambo wa dola ya Kiislam IS.

katika eneo la kaskazini la pwani ya mlima Sinai .