Dzhokhar Tsarnaev akutwa na hatia.

Haki miliki ya picha AP
Image caption Dzhokhar Tsarnaev

Dzhokhar Tsarnaev anayekabiliwa na mashtaka ya kutekeleza shambulio la mabomu katika mashindano ya marathoni huko Boston Marekani amekutwa na hati ya kutumia silaha katika mkusanyiko wa watu hali inayoweza kusababisha vifo.Mashitaka hayo dhidi ya Tsarnaev yalisomwa kwa zaidi ya saa 11 huku mashitaka yote mawili ni yale yanayostahili adhabu ya kifo.

Ili kujua undani wa mashataka hayo,Mwandishi wa BBC,Regina Mziwanda amezungumza na Fulbert Namwamba ambaye ni mhadhiri wa chuo kikuu cha Louisiana nchini Marekani.