Dzokhar Tsarnaev
Huwezi kusikiliza tena

Dzhokhar Tsarnaev akutwa na hatia

Dzhokhar Tsarnaev anayekabiliwa na mashtaka ya kutekeleza shambulio la mabomu katika mashindano ya marathoni huko Boston Marekani amekutwa na hati ya kutumia silaha katika mkusanyiko wa watu hali inayoweza kusababisha vifo.Mashitaka hayo dhidi ya Tsarnaev yalisomwa kwa zaidi ya saa 11 huku mashitaka yote mawili ni yale yanayostahili adhabu ya kifo.

Ili kujua undani wa mashataka hayo,nimezungumza Fulbert Namwamba ambaye ni mhadhiri wa chuo kikuu cha Louisiana nchini Marekani,na kwanza namuuliza watu wa Boston wanazungumziaje maamuzi dhidi ya kesi ya Dzokhar.