Kahawa ikiwa shambani
Huwezi kusikiliza tena

Kahawa ya Tanzania hatarini kutoweka

Utafiti uliofanywa na wataalamu wa mambo ya kilimo unaonyesha kuwa zao la Kahawa nchini Tanzania huenda likatoweka kabisa kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi

Kutoka Johannesburg mwandishi wetu Omar Mutasa anaarifu zaidi.