Wanajeshi waasi waliokamatwa katika mji wa Burundi
Huwezi kusikiliza tena

Majenerali wa mapinduzi walivyokamatwa

Baadhi ya majenarali waasi wa mapinduzi walivyokamatwa nchini Burundi baada ya jaribio la mapinduzi kugonga mwamba huku kiongozi wao aliyetangaza mapinduzi hayo akiwa bado anasakwa