Nigeria:Taarifa ya mgahawa sio kweli !

Image caption Nigeria

Idhaa ya kiswahili ya BBC imethibitisha kuwa taarifa tuliyochapisha kwamba kuna mgahawa mmoja nchini Nigeria unaouza nyama ya binadamu sio za kweli.

Tunaomba radhi kwa taharuki au hisia zozote zilizosababishwa na taarifa hiyo.