Jinamizi la mihadarati G Bissau awamu ya {3}

http://hooked.bbcnewslabs.co.uk/sw/a-long-way-down/#9

Image caption Jinamizi la mihadarati G Bissau awamu ya {3} Uraibu wa Buba sasa umeanza kumfanya kuwa mteja

Maisha sasa yanabadilika kwa Buba ameanza kufuja faida kutoka kwa biashara yake ilikugharamia uraibu wake wa mihadarati.

Tizama sehemu ya tatu ya riwaya hii ya ''Hooked''.

'Hooked' kama inavyojulikana ni riwaya ya athari zinazosababishwa na biashara hiyo kwa binaadamu.

Je ulikosa awamu ya kwanza http://hooked.bbcnewslabs.co.uk/sw/the-tide-rolls-in/#1 na ya pili ? http://hooked.bbcnewslabs.co.uk/sw/a-good-life/#5