Madaktari wanaopasua wafu
Huwezi kusikiliza tena

Changamoto za madaktari wanaopasua wafu

Je, watu wangapi wangependa kufanya kazi katika vyumba vya kuhifadhi miili? Bila shaka si wengi lakini wanaopitia hali hiyo kila mara ni madkatari wanaopasua miili ya wafu ili kufanya uchunguzi. Mwandishi wetu Paul Nabiswa alitembelea sehemu ya Nyeri na kuzungumza na Daktari Moses Njue ambaye amewahi kuwa daktari mkuu wa serkali ya Kenya katika sekta hiyo kabla ya kustaafu na anaeleza kazi hiyo na changamoto wanazopitia madaktari hao.