Msururu wa majina ya Albino waliouawa
Huwezi kusikiliza tena

Albino hubaguliwa Congo

Watu wenye ulemavu wa ngozi wameomba serkali kuhamasisha viongozi wa makampuni kuwakubali wakati wa kutafuta ajira .

Jijini kinshasa, Maalbino ambao walipata bahati ya kusoma na kumaliza masomo yao , wanakabiliwa na unyanyapaa katika kazi , ubaguzi wa rangi ambao huwasababisha kukataliwa , na suala hilo limeleta masikitiko upande wao ,pamoja na hayo jamii za watu walio na ulemavu wa ngozi zimeiomba sekali kuwapatia matibabu ya ngozi.

MBLECHI MSOSHI toka kinshasa anaarifu zaidi.