Raia wa Nigeria wapinga posho za wabunge

Image caption Bunge la Nigeria

Raia wa Nigeria wametoa hisia zao za ghadhabu kufuatia ripoti kuwa wabunge kujipa mamilioni ya dola ikiwemo pesa ya mavazi.Gazeti la Nigeria (This Day) limesema katika posho ya kabati la nguo, kila mbunge na wawakilishi watapata wastani wa dola takribani laki moja kwa kipindi cha mihula minne.

Umaskini umekithiri nchini Nigeria huku karibu watu raia milioni mia moja wa Nigeria wakiishi chini ya wastani wa dola moja kwa siku.

Ujumbe mwingi wa Raia wa Nigeria umewekwa kwenye mitandao ya kijamii, wakipinga posho