mwanamuziki aliyevuma John ashihundu
Huwezi kusikiliza tena

Mwanamuziki aliyevuma John Ashihundu

Wapenzi wa muziki hupenda nyimbo kwa sababu tofauti tofauti. Mwandishi wa BBC, Wanyama wa Chebusiri ametembelea mpenzi mmoja wa muziki uliovuma miaka mingi iliyopita, John Ashihundu na kutuandalia taarifa ifuatayo