Obama awasili Nairobi

Rais Barrack Obama wa Marekani, tayari amewasili mjini Nairobi.

Ndege iliyombeba rais obama ilitua katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta muda mfupi baada ya saa mbili za usiku.