Marekani na Uturuki kufanya mazungumzo.

Haki miliki ya picha AP
Image caption John Kirby,Msemaji wa idara ya ulinzi ya Marekani

Marekani imethibitisha kuwa itaendeleza mazungumzo na Uturuki kuhusu kutoa majeshi yake yanayo pambana na kikosi cha kigaidi cha Islamic State huko magharibi mwa Syria.

Msemaji wa idara hiyo,John Kirby amesema ''jitihada,nguvu na umoja unapaswa kuwepo kwa kuangazia maeneo ya mipakani''. Amesema anapinga pendekezo la kuagiza kikosi cha Marekani kilisababishwa mapigano hayo ya anga nchini Uturuki kwa kutumia kikundi cha jeshi cha Kurdish kilichopo eneo la kaskazini mwa Iraq . Askari wa Kurdish PKK wanamesema kuwa shambulio la Uturuki liko juu ya Uturuki ambayo inasimamia mapambano yake dhidi ya PKK . Majeshi ya Kurdish bado yanapambana na wanamgambo wa kikundi cha kigaidi cha kiislamu'Islamic State huku wakiilaumu Syria kwa kuchukua fursa zao. Msemaji huyo amepinga pendekezo la kuagiza kikosi cha Marekani kilisababishwa mapigano hayo ya anga nchini Uturuki kwa kutumia kikundi cha jeshi cha Kurdish kilichopo eneo la kaskazini mwa Iraq . Askari wa Kurdish PKK wanamesema kuwa shambulio la Uturuki liko juu ya Uturuki ambayo inasimamia mapambano yake dhidi ya PKK . Majeshi ya Kurdish bado yanapambana na wanamgambo wa kikundi cha kigaidi cha kiislamu'Islamic State huku wakiilaumu Syria kwa kuchukua fursa zao.