Aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania Edward Lowassa
Huwezi kusikiliza tena

Je,hatua ya Lowassa ina maanisha nini?

Siku moja tu baada ya aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania Edward Lowassa kukihama Chama Cha Mapinduzi CCM na kujiunga na kile cha CHADEMA,kumekuwa na hisia tofauti kuhusu maana ya hatua hiyo huku chama cha CCM kikikashifu hatua hiyo na kusema kuwa si tisho kwake.Ripoti wa BBC Sammy Awami anaarifu.