Kunani vyuo vikuu vya Afrika Mashariki ?

Image caption Jarida la ''The Times Higher Education'' lilitumia idadi na ubora nukuu kutoka kwa wasomi wake.

Vyuo vikuu vya Afrika Kusini ndio bora zaidi na maarufu barani Afrika.

Katika utafiti uliofanyika majuzi, vyuo vikuu vya Afrika Kusini vilishika nafasi 6 katika orodha ya vyuo vikuu kumi bora.

Chuo kikuu cha Makerere nchini Uganda kimeorodheshwa katika nafasi ya tatu.

Chuo kikuu cha Port Harcourt kilichoko Nigeria kimeorodhesha katika nafasi ya sita.

Haki miliki ya picha AFP
Image caption Kunani vyuo vikuu vya Afrika Mashariki ?

Chuo kikuu cha Nairobi nchini Kenya kimeorodheshwa katika nafasi ya nane.

Jarida la ''The Times Higher Education'' lilitumia idadi na ubora nukuu kutoka kwa wasomi wake.

Je viwango vya ubora wa masomo na utafiti wa vyuo vikuu vya Afrika Mashariki vimeshuka ?

Jadili

Orodha kamili.

Chuo kikuu cha Cape Town - Afrika Kusini

Chuo kikuu cha Witwatersrand - Afrika Kusini

Chuo kikuu cha Makerere - Uganda

Chuo kikuu cha Stellenbosch - Afrika Kusini

Chuo kikuu cha KwaZulu-Natal - Afrika Kusini

Chuo kikuu cha Port Harcourt - Nigeria

Chuo kikuu cha Western Cape - Afrika Kusini

Chuo kikuu cha Nairobi - Kenya

Chuo kikuu cha Johannesburg - Afrika Kusini

Chuo kikuu cha Cadi Ayyad - Morocco