Ni siku 100 tangu tetemeko litokee Nepal

Image caption Ni siku 100 tangu tetemeko litokee Nepal

Maelfu ya watu nchini Nepal bado wanaishi katika makao ya muda, siku mia moja baada ya tetemeko kubwa la ardhi kuikumba nchi hiyo na kusababisha uharibifu mkubwa.

Mwandishi wa bbc anasema kuwa kiwango kikubwa cha vifusi kimeondolewa na ujenzi mpya kwa sasa unaendela katika badhi ya maeneo yaliyoathirika zaidi

Nepal inapata msaada wa kimataiaa katika ujenzi huo . Karibu watu 9000 waliuawa wakati wa janga hilo.