Huwezi kusikiliza tena

Michoro ya kihistoria kupotea Tanzania?

Michoro ya kwenye miamba iliyo mkoani Dodoma katikati mwa Tanzania, imeelezwa kuwa iwapo haitatunzwa vizuri inaweza kupotea taratibu kutokana na uharibifu wa mazingira unaofanywa katika eneo hilo.

Halima Nyanza alitembelea eneo hilo la michoro ya miambani Kondoa