Wachezaji walisajiliwa Uingereza

Msimu wa kuwasajili wachezaji nchini Uingereza, Scotland na Wales ulifunguliwa rasmi tarehe mosi Julai na unatarajiwa kumalizika saa mbili za usiku majira ya Afrika Mashariki.

Haki miliki ya picha Getty
Image caption Papy Djilobodji aliyesajiliwa na Chelsea

Ifuatayo ni orodha ya wachezaji ambao wamesajiliwa na vilabu mbali mbali kuanzia mwezi Mei, Juni Julai na Agosti mwaka huu.

 • Mchezaji aliyesajiliwa kwa kiasi cha juu zaidi ni Kevin De Bruyne kutoka Wolfsburg hadi Manchester City na alisajiliwa kwa kitita cha £55m
 • Klabu ya Notts County imewasajili wachezaji 19.
 • Katika ligi kuu Watford imewasajili wachezaji 12

Waliosajiliwa tarehe 1 Septemba

Ligi kuu ya premier na ligi ya Usocti

 • Glenn Murray [Crystal Palace - Bournemouth] £4m
 • Nikica Jelavic [Hull - West Ham] £3m
 • Papy Djilobodji [Nantes - Chelsea] £4m
 • Victor Moses [Chelsea - West Ham] Loan
 • Robbie Muirhead [Dundee United - Partick Thistle] mkopo
 • Ramiro Funes Mori [River Plate - Everton] £9.5m
 • Alex Song [Barcelona - West Ham] mkopo

Wachezaji wengine

 • Richard Stearman [Wolves - Fulham]
 • Nathan Baker [Aston Villa - Bristol City] mkopo
 • Jacob Butterfield [Huddersfield - Derby]
 • Liam Moore [Leicester - Bristol City] mkopo
 • Jordan Botaka [Excelsior - Leeds]
 • Luke O'Neill [Burnley - Southend]
 • Nathan Byrne [Swindon - Wolves]
 • Miguel Layun [Watford - Porto]
 • Adam Drury [Manchester City - Bristol Rovers]

Waliosajiliwa tarehe 31 Agosti

Ligi kuu ya Premier

 • Fabio Borini [Liverpool - Sunderland] £10m
 • Dieumerci Mbokani [Dynamo Kiev - Norwich] Mkopo
 • Ligi daraja ya kwanza
 • Barry Bannan [Crystal Palace - Sheffield Wednesday]
 • Sergi Canos [Liverpool - Brentford] mkopo
 • Marco Djuricin [Red Bull Salzburg - Brentford] mkopo
 • Ryan Fredericks [Bristol City - Fulham]
 • Lucas Piazon [Chelsea - Reading] mkopo
 • Idriss Saadi [Clermont Foot - Cardiff]

Uscoti

Riccardo Calder [Aston Villa - Dundee] mkopo

Martin Woods [Shrewsbury - Ross County]