Obama:Katibu wa jeshi ni mpenzi wa jinsia moja

Image caption Rais Barack Obama amemteua Eric Fanning kuwa katibu mpya katika jeshi la Marekani.

Rais wa Marekani Barack Obama amemteua Eric Fanning kuwa katibu mpya katika jeshi la Marekani.

Image caption Atakuwa mtu wa kwanza kutangaza wazi kuwa anashiriki mapenzi ya jinsia moja

Atakuwa mtu wa kwanza kutangaza wazi kuwa anashiriki mapenzi ya jinsia moja ambaye amewahi kuteuliwa kuchukua cheo cha juu zaidi katika jeshi la Marekani.

Idara ya ulinzi nchini Marekani ilifanyia marekebisho sera zake mwezi juni na kuondoa vizuizi vyo vyote kwa misingi ya mwelekeo ya kijinsia.

Haki miliki ya picha
Image caption Uteuzi wa bwana Fanning bado unahitaji kudhinishaa na bunge la senate.

Uteuzi wa bwana Fanning bado unahitaji kudhinishaa na bunge la senate.