Wahamiaji 26 hawajulikani waliko

Haki miliki ya picha AFP
Image caption Wahamiaji 26 hawajulikani waliko

Ugiriki inasema kuwa inawatafuta wahamiaji 26 ambao inaamika kuwa huenda hawajulikani waliko baada ya mashua yao kuzama nje ya kisiwa cha Lesbos katika bahari ya Aegean.

Wahamiaji wengine 20 waliokolewa . Wakimbizi 10,000 wengi kutoka nchini Syria wamewasili nchini Ugiriki kutoka pwani ya Uturuki mwaka huu.