Walker ajitoa mbio za urais Marekani

Haki miliki ya picha Getty
Image caption Scott Walker

Scott Walker, ambaye ni miongoni wagombea waliokuwa wakiwania kuteuliwa kugombea urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican amejiondoa kutoka kwa kinyang'anyiro hicho.

Bwana Walker ambaye alikuwa gavana wa jimbo la Winscosin amesema amejitoa kutoka kampeini hizo ili kutoa nafasi kwa uteuzi wa mgombea muafaka atakayekabiliana na Donald Trump.

Mgombea huyo, ambaye alikuwa akiungwa mkono kwa wingi na wafuasi wa mrengo wa kulia, lakini hata hivyo katika kura ya maoni kiwango chake kilishuka baada ya kufanya vibaya katika midahalo. Scott Walker, mmojawapo wa wagombea watarajiwa wa urais kwa tiketi ya chama cha Republican amejiondoa kutoka kwa kinyanganyiro hicho.

Bwana Walker ambaye alikuwa gavana wa jimbo la Winscosin amesema amejitoa kutoka kampeini hizo ili kutoa nafasi kwa uteuzi wa mgombea muafaka atakayekabiliana na Donulkd Trump.

Mgombea huyo, ambaye alikuwa akiungwa mkono kwa wingi na wafuasi wa mrengo wa kulia, lakini hata hivyo katika kura ya maoni kiwango chake kilishuka baada ya kufanya vibaya katika midahalo.