Timu ya Amka na BBC leo

Image caption Kutoka kushoto ni Dinah Gahamanyi,Leonard Mubali na Muliro Terewa,

Timu yako ya Amka na BBC ikikuandalia Makala ya asubuhi saa kumi na mbili asubuhi, 22 Oktoba.2015 Ukiwa Mwanza tunapatikana kupitia RFA 93.5 FM, Arusha 89.0 FM, Mbeya 89.0 FM Ukiwa Zanzibar ni Kupitia Zenji FM 93.7FM. Unaweza pia kutupata kupitia tovuti yetu, BBC