Marekani yazikosoa sera za Urusi

Haki miliki ya picha EPA
Image caption Marekani yazikosoa sera za Urusi

Waziri wa ulinzi wa Marekani,Ashton Carter, amezikosoa sera za Urusi kwa kutoheshimu sheria za kimataifa.

Carter ameikashifu Moscow kwa kukiuka makubaliano ya kimataifa.

Haki miliki ya picha Getty
Image caption Waziri wa ulinzi wa Marekani,Ashton Carter, amezikosoa sera za Urusi kwa kutoheshimu sheria za kimataifa.

Akizungumza katika warsha moja ya maswala ya ulinzi huko California, aliilaumu Moscow kwa kukiuka uhuru wa Ukraine na Georgia, na kujaribu kudunisha mataifa ya Baltic.

Aidha Marekani yazikosoa sera za Urusi

Haki miliki ya picha EPA
Image caption Marekani inailaumu Urusi kwa kuendeleza vita Syria

Kinacho muudhi sana kuwa Urusi ni kama inachochea vita vya kinyuklia.

Bwana Carter amesema pia kuwa, Marekani haina haja ya kupigana na Urusi, lakini kile inachofanya ni kuweka majeshi yake tayari ilikuizuia uchochezi wa Urusi.