Idhini ya daktari kunywa pombe India

Image caption Watu 60,000 wapewa idhini ya daktari kunywa pombe India

Licha ya jimbo la Gujarat India kupiga marufuku unywaji utengenezaji na unywaji pombe, takriban watu 60,000 wamepewa idhini ya kunywa tembo.

Takwimu zilizowekwa wazi na idara ya afya inaonesha kuwa watu 60,000 wamepewa idhini na madaktari kunywa pombe

katika jimbo hilo ambapo adhabu ya ni kali.

Haijulikani ni ugonjwa upi huo unaotibika na pombe ila inaaminika watu hujilinda kwa idhini hizo za daktari kuepuka hatari ya kushikwa .

Haki miliki ya picha
Image caption Ukipatikana ukinywa pombe bila idhini unatozwa faini ya dola 20.

Gujarat, ndiko alikozaliwa kiongozi wa kwanza wa taifa Mahatma Gandhi.

Jimbo hilo liliharamisha ulevi mwaka wa 1960 kwa heshima wa kiongozi huyo wa taifa.

Ukipatikana ukinywa bila idhini unatozwa faini ya dola 20.