Rais wa Argentina kupaisha kilimo

Haki miliki ya picha APTN
Image caption Mauricio Macri

Rais wa Argentina, Mauricio Macri, anatarajiwa kutangaza kukata ushuru wa mauzo ya bidhaa za kilimo.

Bw Macri amesema kuwa ataipatia tena umuhimu sekta ya kilimo.

Sekta hiyo ya kilimo, imeelezwa kuwa ilikuwa imepuuzwa na serikali zilizopita.