Rhian Lewis
Huwezi kusikiliza tena

Furaha ya mwanamke kuona kwa jicho bandia

Mwanamke mmoja nchini Uingereza, ambaye amekuwa akipoteza uwezo wake wa kuona, ameelezea furaha yake baada ya kuweza kuona tena kwa kutumia ‘jicho bandia’.

Rhian Lewis alifanyiwa upasuaji na kuwekwa sehemu mpya ipokeayo nuru ndani ya jicho.

Njia hii inayofanyiwa majaribio inaweza kuwafaa maelfu ya watu wanaopofuka.