Saba wauawa kwenye ajali ya moto Algeria

Image caption Moto waua saba Algeria

Watu saba wamuawa baada ya moto kuteketeza jumba moja la watalii katika eneo starehe lililo kwenye mji mkuu wa Algeria.

Moto huo ulianzia kwenye jumba moja katika eneo la Azur liilo umbali wa kilomita 20 magharibi mwa mji wa Algiers aabapo pia mtu mmoja alijeruhiwa.

Hakuna taarifa zaidi kuhusu waathiriwa wa moto huo au kile kilichousababisha ambao uliwachukua wazima zaidi ya saa mbili kuuzima