Huwezi kusikiliza tena

Tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana Tanzania

Pamoja na kwamba tatizo la ukosefu wa ajira linawalenga watu wote katika nyanja mbalimbali lakini Kipindi hiki tunawalenga zaidi vijana.

Takwimu zinaonyesha kuwa wao ni zaidi ya asilimia 60% ya idadi ya watu wote nchini Tanzania.

Tatizo la ajira bado likionekana kuwakumba, leo tunahoji fursa zilizopo zinaweza kutumika kupungunza tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana nchini Tanzania?