Chemsha Bongo: Wamfahamu vyema Malkia Elizabeth?

Malkia Elizabeth II leo anatimiza miaka 90 tangu kuzaliwa. Alizaliwa tarehe 21 Aprili, 1926 na ndiye kiongozi wa kifalme aliyeongoza muda mrefu zaidi Uingereza. Wamfahamu vyema?