Audi, Mercedes, Opel, Porsche na Volkswagen kurejesha magari

Image caption Audio

Serikali ya Ujerumani imesema kuwa kampuni za kutengeneza magari ya Audi, Mercedes, Opel, Porsche na Volkswagen, zinatarajiwa kurejesha zaidi ya magari laki sita yaliyokuwa yameuzwa barani Ulaya, kwa sababu ya matatizo ya moshi.

Tangazo hilo limetolewa siku moja tu baada ya kampuni ya Volkswagen kukiri kuwa ilitoa takwimu zisizohaki kuhusiana na moshi unaotelewa na magari kadhaa.

Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Porsche

Utawala wa Ujerumani umefanya majaribio kadhaa katika miundo kadhaa ya magari na kugundua magari ya Volkswagen yalikuwa yamewekwa programu inayoficha takwimu kuhusu viwango vya moshi.

Siku ya Alhamisi VW ilikubali kununua magari yake kutoka kwa wateja wake nusu milioni nchini Marekani, kama sehemu ya mkataba na idara ya haki nchini humo, kuhusiana na dosari hizo.

Haki miliki ya picha AP
Image caption Volkswagen

Ni mchezo unaosheherekewa licha ya wasiwasi unaozunguka kurudi kwa kiongozi wa waasi Riek Machar nchini humo.