Miereka ya amani Sudan Kusini

Image caption Wana miereka wa Sudan Kusini

Miereka ni mchezo maarufu hususan miongoni mwa jamii za ufugaji nchini Sudan Kusini.

Image caption Mwana Miereka

Ni mchuano ambao huyaleta majimbo kadhaa na jamii ambazo zilikuwa zikizozana katika vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo.

Image caption Mwa Miereka akielekea kumkabili mpinzani wake

Wakaazi wanasema kwamba unapokabiliana na jirani yako katika mchezo huo wa miereka basi unaanzisha urafiki wa dhati na wa kudumu.

Image caption Wanawake wanaoshabikia wana Miereka

Kinyang'anyiro hicho kinalenga kuwaleta pamoja raia wa Sudan Kusini.

Image caption Mwana Miereka aliyeibuka mshindi

Washindi huwa ni sifa kubwa kwa jimbo lao na huwavutia wanawake wengi.

Wanaoshindwa huondoka wakiona aibu.