Orodha ya vyuo vikuu bora zaidi duniani

Chuo Haki miliki ya picha Universidad de Harvard
Image caption Chuo kikuu cha Harvard, Marekani ndicho bora zaidi duniani

Orodha mpya ya vyuo vikuu bora zaidi duniani ya Times Higher Education, kwa kuangazia sifa za chuo kikuu husika, imetolewa, huku kukiwa hakuna chuo kikuu chochote kutoka Afrika kilichofanikiwa kuwa kwenye orodha ya 100 bora.

Vyuo vikuu kutoka bara Asia hata hivyo viliimarika sana. Mwaka huu, kuna vyuo vikuu 17 kutoka Asia vilivyomo kwenye orodha ya vyuo 100 bora, likiwa ongezeko kutoka vyuo 10 mwaka jana.

Kwa mara ya kwanza, kuna chuo kikuu kutoka Uchina katika 20 bora, Chuo Kikuu cha Tsinghua University kutoka Beijing ambacho kimo nambari 18.

Vyuo vikuu vya Marekani bado vinatawala orodha hiyo, chuo kikuu cha Harvard kikiwa ndicho kinachoongoza.

Haki miliki ya picha Thinkstock

Hapa ni vyuo vikuu bora 100.

1 . Harvard University

Marekani

2 . Massachusetts Institute of Technology

Marekani

3. Stanford University

Marekani

4. University of Cambridge

Uingereza

5 . University of Oxford

Uingereza

6. University of California, Berkeley

Marekani

7. Princeton University

Marekani

8 . Yale University

Marekani

9. Columbia University

United States of America

10 . California Institute of Technology

Marekani

11. University of Chicago

Marekani

12 . University of Tokyo

Japan

13. University of California, Los Angeles

Marekani

14 . University of Michigan

Marekani

15 . Imperial College London

Uingereza

16 . University of Pennsylvania

Marekani

17. Cornell University

Marekani

18 . Tsinghua University

Uchina

19. ETH Zurich – Swiss Federal Institute of Technology Zurich

Uswizi

20 . University College London

Uingereza

21 . Peking University

Uchina

22. Johns Hopkins University

Marekani

23 . University of Toronto

Canada

24 . London School of Economics and Political Science

Uingereza

25. New York University

Marekani

26. National University of Singapore

Singapore

27. Kyoto University

Japan

28. Duke University

Marekani

29. University of Washington

Marekani

=30. University of Illinois at Urbana-Champaign

Marekani

=30. Lomonosov Moscow State University

Urusi

=30. Northwestern University

Marekani

33. Carnegie Mellon University

Marekani

34. University of Texas at Austin

Marekani

=35. University of Wisconsin-Madison

Marekani

=35. University of California, San Diego

Marekani

37. University of British Columbia

Canada

38 . University of Edinburgh

Uingereza

39. McGill University

Canada

=40. Georgia Institute of Technology

Marekani

=40. LMU Munich

Ujerumani

42. University of California, San Francisco

Marekani

43. King’s College London

Uingereza

44. Pennsylvania State University

Marekani

=45. University of California, Davis

Marekani

=45. University of Hong Kong

Hong Kong

=45. Seoul National University

Korea Kusini

48 . École Polytechnique Fédérale de Lausanne

Uswizi

=49. University of Manchester

Uingereza

=49. University of Melbourne

Australia

=49 . University of Minnesota

Marekani

51-60. Delft University of Technology

Uholanzi

51-60 . Heidelberg University

Ujerumani

51-60 . Humboldt University of Berlin

Ujerumani

51-60 . Karolinska Institute

Sweden

51-60. University of Maryland, College Park

Marekani

51-60. University of North Carolina at Chapel Hill

Marekani

51-60. Ohio State University

Marekani

51-60. Osaka University

Japan

51-60. Purdue University

Marekani

51-60. Technical University of Munich

Ujerumani

61-70. University of Amsterdam

Uholanzi

61-70. Australian National University

Australia

61-70 . École Normale Supérieure

Ufaransa

61-70. KU Leuven

Ubelgiji

61-70 . Michigan State University

Marekani

61-70. University of Southern California

Marekani

61-70. University of Sydney

Australia

61-70 . Tohoku University

Japan

61-70. Washington University in St Louis

Marekani

71-80. Boston University

Marekani

71-80 . Brown University

Marekani

71-80. University of California, Santa Barbara

United States of America

71-80 . Chinese University of Hong Kong

Hong Kong

71-80 . Free University of Berlin

Ujerumani

71-80. Fudan University

Uchina

71-80. Hong Kong University of Science and Technology

Hong Kong

71-80. University of Pittsburgh

Marekani

71-80 . Shanghai Jiao Tong University

Uchina

71-80. Texas A&M University

Marekani

81-90 . Indiana University (Bloomington)

Marekani

81-90. Korea Advanced Institute of Science and Technology (KAIST)

Korea Kusini

81-90. Leiden University

Uholanzi

81-90. London Business School

Uingereza

81-90 . Nanyang Technological University

Singapore

81-90. National Taiwan University

Taiwan

81-90 . Pierre and Marie Curie University

Ufaransa

81-90. RWTH Aachen University

Ujerumani

81-90 . Saint Petersburg State University

Urusi

81-90. Tokyo Institute of Technology

Japan

81-90 . University of Warwick

Uingereza

81-90. Zhejiang University

Uchina

91-100. Arizona State University

Marekani

91-100. University of Colorado Boulder

Marekani

91-100. École Polytechnique

Ufaransa

91-100. Insead

Ufaransa

91-100. Lund University

Sweden

91-100. Moscow Institute of Physics and Technology

Urusi

91-100. Panthéon-Sorbonne University – Paris 1

Ufaransa

91-100 . University of São Paulo

Brazil

91-100 . Utrecht University

Uholanzi

91-100. Wageningen University and Research Centre

Uholanzi