Huwezi kusikiliza tena

Mkapa aongoza mazungumzo ya Burundi

Mazungumuzo ya amani ya Burundi yanaendelea mjini Arusha Tanzania, chini ya Uenyekiti wa Rais mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa.

Yanajumuisha pia wawakilishi kutoka serikalini, vyama na makundi mbalimbali ya ndani na nje ya Burundi, ajenda kuu ikiwa ni Msuluhishi kusiliza kila upande kuhusu mwenendo mzima wa majadiliano, masuala muhimu ya kujadili, mahali pa kujadiliana, na wanaotakiwa kualikwa kwenye mkutano utakaofuata.

Sikiliza ripoti ya Balthazar Nduwayezu