Huwezi kusikiliza tena

Vijana DRC na tiba ya nguvu za kiume

Baadhi ya vijana jijini kinshasa DRC, wameonekana kutumia dawa za kiasili kama tiba ya kuongeza nguvu ya kiume.

Hii imewafanya waganga wa kienyeji katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kuendelea kutengeneza dawa ambazo zimetajwa na wataalam wa afya kwamba zinaathiri maisha na afya za vijana.

Sikiliza taarifa ya MBELECHI Msoshi kutoka Kinshasa.