Sudan yasaini mkataba wa ujenzi wa kinu cha nuklia

Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Sudan yaingia kwenye mkataba wa ujenzi wa kinu cha nuklia na China.

Sudan imeingia kwenye mkataba na kampuni ya nishati ya serikali ya China wa ujenzi wa kinu cha kwanza cha nuklia nchini humo.

Kampuni ya China National Nuclear Corporation, ilisema kwa itafanya bidi kuhakisha kuwa ujeia huoa umekamilika mapema wa kinu ambacho kitazalisha mehawari 600 ya umeme.

Mwaka uliopita Rais wa Sudan Omar al-Bashir alitia sahihi mkataba muhimu alipozuru taifa la China.