Mohamed Abdelaziz wa Sahara afariki

Haki miliki ya picha AFP
Image caption Muasisi wa Shahara,Mohamed Abdelaziz afariki dunia

Kiongozi aliyeipatia uhuru nchi ya Sahara Magharibi, amefariki dunia akiwa na miaka 68.

Mohamed Abdelaziz,alikuwa katibu mkuu wa maandamano ya Polisario yaliyomaliza utawala wa Morocco nchini humo,

Koloni hilo la zamani la Uhispania lililochukuliwa na Rabat mwaka 1975.

Maandamano ya Polisario yalikuwa ni maombolezo ya kifo cha kiongozi wao aliyewatawala kwa miaka takriban 40.

Umoja wa mataifa umekuwa ukijaribu kuleta hali ya amani katika ukanda huo,lakini mgogoro uliopo ni kuhusu kura ya maoni juu ya kujitawala .